AZAM YAANZA NA USHINDI KOMBE LA MAPINDUZI

Picha toka maktaba
Wawakilishi wa Tanzania bara katika michuano ya Kombe la Mapinduzi Azam FC wameanza kwa ushindi kampeni yao ya kuwania ubingwa huo.

Azam FC iliwabidi kusubiri mpaka kipindi cha pili kupata bao pekee katika mchezo huo dhidi ya Zimamoto likifungwa na Mshambuliaji Shaban Idd.

Mchezo ulikua wa kwanza kwa kundi B ukifatiwa na mchezo wa Yanga dhidi ya Jamhuri ya Pemba Usiku huu.

No comments

Powered by Blogger.