AFCON 2017 : UGANDA LICHA YA KUCHEZA SOKA SAFI YAPOTEZA KWA GHANA, MISRI NA MALI HAKUNA MBABE
Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON 2017 Inaendelea kushika kasi nchini GABON ambapo jana mechi mbili za kundi D zilichezwa.
Katika mechi za awali hiyo jana wawakilishi pekee toka Afrika Mashariki Uganda jana kwa mara ya kwanza wakitokeza katika michuano hiyo tangu mwaka 1978 walikubali kichapo cha bao 1-0 toka kwa Ghana.
Uganda ambao walitawala mchezo huo wakicheza soka safi walifungwa bao hilo kipindi cha kwanza kwa penati mfungaji akiwa ni mshambuliaji wa Ghana anayeichezea West Ham ya England Andre Ayew.
Katika mechi nyingine hiyo jana Mafarao wa Misri walilazimishwa sare na Mali ikiwa ni sare ya bila kufungana na kufanya mzunguko wa kwanza wa michuano hiyo kutawaliwa na sare huku mechi 3 tu ndizo zimetoa matokeo ya ushindi.
●Cameroon vs Guinea Bissau {Saa 4 kamili Usiku}

Ratiba ya leo
●Gabon vs Burkina Faso {Saa 1 kamili jioni}●Cameroon vs Guinea Bissau {Saa 4 kamili Usiku}
No comments