HONGERA: MKE WA BEKI SIMBA SC AJIFUNGUA MAPACHA WATATU


Ni siku ya furaha kwa mlinzi wa kimataifa wa Uganda na klabu ya Simba Juuko Murshid baada ya mkewe kufanikiwa kujifungua watoto mapacha watatu.


Taarifa za awali ambazo Wapenda Soka imezipata watoto hao watatu wawili ni wsakike na mmoja ni wa kiume na wote watatu pamoja na mama yao wako salama.

Tangu mzunguko wa pili wa ligi kuu Tanzania bara ulipoanza katikati ya mwezi huu Simba haijaweza kumtumia Juuko kutokana na kuwa karibu na familia yake huku Abdi Banda akipata nafasi ya kucheza beki wa kati kuziba nafasi ya Juuko.

Taasisi ya Wapenda Soka Tanzania inamtakia Juuko na familia yake malezi mema na makuzi mema.

No comments

Powered by Blogger.