MATOKEO NA WAFUNGAJI LIGI YA MABINGWA ULAYA JANA

Hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya iliendelea tena jana kwa mechi 8 kupigwa katika viwanja tofauti barani humo.




Manchester City baada ya kujaribu kuifunga Barcelona kipindi kirefu bila mafanikio jana iliweza kuibuka na ushindi wake wa kwanza dhidi ya miamba hiyo ya Spain kwa kuibugiza bao 3-1.

Haya hapa matokeo na wafungaji wa mechi zote za jana

GROUP A

● FC Basel 1-2 PSG
  - Blaise Matuidi 43'
  - Luca Zuffi (76')
  - Thomas Meunier

● Ludogorets Razgrad 2-3 Arsenal
  - Jonathan Cafu (12')
  - Claudiu Keseru (15')
  - Granit Xhaka 20'
  - Olivier Giroud 42'
  - Mesuit Ozil 88'

GROUP B

 ● Besiktas 1-1 SSC Napoli
  - Ricardo Quaresma 79' p
  - Marek Hamsik 82'

● Benfica 1-0 Dyanamo Kyiv
  - Eduardo Silva 45' p

GROUP C

 ● Borussia Moenchengladbach 1-1 Celtic
  - Lars Stindi 32'
  - Moussa Dembele 76' p

● Manchester City 3-1 Barcelona
  - Lionel Messi (21')
  - Ilkay Guendogan 39' 74'
  - Kevin De Bruyne 51'
 

GROUP D 

● Atletico Madrid 2-1 FC Rostov
  - Antoine Griezmann 29',90'
  - Serdar Azmoun (30')

● PSV Eindhoven 1-2 Bayern Munich
  - Santiago Arias (14')
  - Robert Lewandowski 34',74'


No comments

Powered by Blogger.