Vinara wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Wekundu wa Msimbazi Simba wakicheza pungufu ya mchezaji mmoja wameweza kulazimisha uwan ya bao 1-1 na watani zao klabu ya Yanga ambao ni mabingwa watetezi.
www.wapendasoka.com ilikua uwanjani kuhakikisha hupitwi na jambo lolote katika pambano hilo na tumekuandalia picha za matukio hapa
 |
Kutoka kushoto waliosimama:Ajib,Mavugo,Mzamiru,Mwanjali,Lufunga na Mkude.
Walioinama toka kushoto: Bokungu,Kichuya,Angban,Kazimoto na Mohamed Hussein. |
 |
Waliosimam toka kushoto: Mahadhi,Kamusoko,Barthez,Mwinyi,Ngoma,Bousou
Walioinama toka kushoto: Yondani,J.Abdul,Tambwe,Twitte na Kaseke |
 |
Timu zikiingia uwanjani. |
 |
Juma Abdul akitoa maelezo
|
 |
Jonas Mkude akitolewa uwanjani baada ya kupata kadi nyekundu. |
 |
Kadi ya njano kwa Barthez kwa kupoteza muda |
No comments