WALICHOJIBU TFF KUHUSU KUFUNGIWA OFISI NA TRA.
Jioni ya leo ziliibuka taarifa kwamba maafisa wa TRA wamefika katika ofisi za TFF zilizopo Karume jijini Dar es Salaam wakiwa na order ya kutaka kulipwa madeni yao ndani saa 24 vinginevyo watafunga ofisi za shirikisho hilo la soka nchini.
wapendasoka.com imeongea na afisa habari wa TFF Alfred Lucas ili kupata ukweli wa taarifa hiyo ambapo amekana TFF kupokea order ya aina hiyo kutoka TRA.
"Hakuna kitu cha namna hiyo, wao walikuja na kikubwa tu ilikua ni kukumbushia deni lao lakini hukukua na jambo kama hilo"

No comments