MANJI ATII SHERIA, ATANGAZA KUFUTA MKUTANO WA KESHO.
Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji Amethibitisha kuzuiwa kwa mkutano mkuu wa dharura wa Yanga uliopaswa kufanyika kesho
Manji amethibitisha kupokea zuio la mkutano huo kutoka Mahakamani japo zuio hilo lina kimakosa ya kiuandishi na limetoka bila Yanga Kusikilizwa.
Manji amesema yeye kama Mwenyekiti amelipokea amethibitisha kufata na kuheshimu sheria kwa kuwaomba wana Yanga kutokuja kesho ili kulinda Heshima ya Yanga kwa sababu jukumu la kila mwana Yanga ni kuheshimu sheria
Aidha Manji ameahidi kulifanyia kazi pingamizi hilo lakini ametoa tahadhari kwa Wanayanga wote ambao wamepeleka au watapeleka mambo ya Yanga mahakamani waajue kuwa tayari wamejifuta Uanachama kwa sababu haki ya kila Mwanayanga Iko kwenye vikao vya wanachama

No comments