LIVERPOOL,ARSENAL NA NEWCASTLE MAMBO SAFI EFL, MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA JANA HAYA HAPA

Mechi 5 zilipigwa katika hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la ligi nchini England maarufu kama EFL au Capital One zamani.



Liverpool ikiwa nyumbani Anfield iliifunga Tottenham Hotspurs bao 2-1 magoli ya Daniel Sturradge aliyefunga magoli yote mawili, Arsenal ikaifunga Reading bao 2-0 magoli ya Alex Oxlade-Chambmawili.

Newcastle United ikaifunga Preston bao 6-0 wakati Leeds United ikaitupa nje Norwich kwa changamoto ya mikwaju ya penati huku Hull City ikiiadhibu Bristol City bao 2-1.

Haya hapa matokeo ya mechi zote zilizochezwa jana barani Ulaya.

•••EFL Cup•••

Arsenal 2-0 Reading
Bristol City 1-2 Hull City
Leeds United 2-2 Norwich City ( Leeds United wins 3-2 on Penalty Kicks)
 Liverpool 2-1 Tottenham Hotspur
Newcastle United 6-0 Preston North End

••Italian Serie A•••

Genoa 3-0 AC Milan

•••German DFB Pokal•••

Dynamo Dresden 0-1 Arminia Bielefeld
Final - SC Freiburg 3-3 SV Sandhausen ( SV Sandhausen wins 4-3 on Penalty Kicks)
Sportfreunde Lotte 2-2 Bayer Leverkusen ( Sportfreunde Lotte wins 4-3 on Penalty Kicks)
Würzburger Kickers 0-0 TSV 1860 Munich (Shoot-out)
Borussia Monchengladbach 2-0 VfB Stuttgart
Eintracht Frankfurt 0-0 FC Ingolstadt 04 ( Eintracht Frankfurt wins 4-1 on Penalty Kicks)
Hallescher FC 0-4 Hamburg SV
St Pauli 0-2 Hertha Berlin

•••French Coupe de la Ligue•••

Stade Laval 0-2 Montpellier
Nantes 2-1 Angers

~Abel Alvaro

No comments

Powered by Blogger.