LIGI KUU TANZANIA BARA: HAYA HAPA MATOKEO YA JANA NA RATIBA YA LEO

Ligi kuu ya Soka Tanzania bara iliingia katika mzunguko wake wa 12 jana na kuna mechi kadhaa zitachezwa leo kukamilisha mzunguko huo.



Vinara wa ligi hiyo Simba ikicheza katika uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga iliweza kuifunga Mwadui bao 3-0 Huku Mbeya City ikiizamisha Majimaji.

Leo vinara wa ligi hiyo Yanga watakua tena uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kumenyana na Mbao FC Toka Jijini Mwanza.

www.wapendasoka.com tumekuwekea hapa matokeo ya mechi zote za jana na ratiba ya mechi za leo.

MATOKEO YA JANA


  • Mwadui FC 0-3 Simba SC
  • Mbeya City 3-2 Maji Maji FC
  • African Lyon 1-1 Prisons
  • Toto Africans 3-2 Mtibwa sugar
  • Jkt Ruvu 1-0 Ndanda FC

RATIBA YA MECHI ZA LEO

  • Yanga SC vs Mbao FC
  • Ruvu Shooting vs Stand United.
................

No comments

Powered by Blogger.