HIZI NDIZO MECHI AMBAZO ERIC BAILLY WA MAN UNITED ATAZIKOSA

Beki wa kimataifa wa Ivory Coast na klabu ya Manchester United Eric Bailly atakua nje ya uwanja kwa miezi miwili baada ya kuumia katika kipigo cha bao 4-0 walichopata Manchester United dhidi ya Chelsea.



Pengine taarifa hii itakua mbaya sana kwa Manchester United kutokana na kukabiliwa na mechi nyingi muhimu na ngumu wakati huu na kama Bailly atakua nje kwa miezi hiyo miwili atakosa takribani michezo 13.

www.wapendasoka.com imekuwekea hapa michezo ambayo nyota huyo ataikosa wakati huu akiuguza mguu wake tukianza na mchezo wa kwanza jana ambapo aliukosa dhidi ya Manchester City, Michezo mingine ni pamoja na:-
  • Oct 29 - Burnley - Premier League (H)
  • Nov 3 - Fenerbahce - Europa League (A)
  • Nov 6 - Swansea - Premier League (A)
  • Nov 19 - Arsenal - Premier League (H)
  • Nov 24 - Feyenoord - Europa League (H) 
  • Nov 27 - West Ham - Premier League (H)
  • Nov 30 - West Ham - EFL Cup (H)
  • Dec 4 - Everton - Premier League (A)
  • Dec 8 - Zorya - Europa League (A)
  • Dec 11 - Tottenham - Premier League (H)
  • Dec 14 - C. Palace - Premier League (A)
  • Dec 17 - West Brom - Premier League (A)



No comments

Powered by Blogger.