HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA LEO DHIDI YA YANGA

Vinara wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara Simba imeweka hadharani kikosi chake huku kukiwa hakuna tofauti kubwa Norvat Lufunga akirejea kuchukua nafasi ya Juuko Murshid.
www.wapendasoka.com tumekipata na kukuwekea hapa.



Wachezaji wanaoanza

1.Vicent Angban
2. Janvier Bokungu
3. Mohamed Hussein
4. Novat Lufunga
5. Method mwanjali
6. Jonas mkude
7. Shiza kichuya
8. Muzamir Yassin
9. Laudit mavugo
10.Ibrahim ajib
11. Mwinyi kazimoto

Wachezaji Akiba

1. Peter manyika
2. Juuko Murshid
3. Abdi Banda
4. Mohamed Ibrahim
5. Frederick Blagnon
6. Said ndemla
7. Jamal Mnyate

No comments

Powered by Blogger.