AZAM FC YAPIGA MAZOEZI YA NGUVU TAYARI KWAAJILI YA MECHI YA KESHO (+photos)
Azam FC leo asubuhi iliendelea na mazoezi yake katika uwanja wao wa nyumbani Azam Complex kuelekea katika pambano lao la kesho ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.
Azam FC kesho majira ya saa 1 Usiku itacheza dhidi ya Ruvu Shooting ikiwa ni wiki moja baada ya kuambulia kichapo toka kwa Ndanda FC.
Hizi hapa picha za mazoezi ya Azam FC kwa hisani Ya page ya Azam FC

No comments