ARSENAL YAPATA ZAWADI YA GOLI KAMA LA YANGA JANA (+ Video highlights)
Goli la dakika ya mwisho ya mchezo kati ya Burnley na Arsenal ndilo lililowapa ushindi Araenal licha ya kuibuka utata kwa mfungaji.
Beki Lauren Koscienly alifunga bao hilo kwa mpira uliomgonga mikononi na kutinga wavuni dakika ya mwisho ya muda wa nyongeza katika mechi ambayo Arsene Wenger aliadhimisha miaka 20 tangu aanze kazi ya kuinoa Arsenal.
Goli hilo limeshuhudiwa ikiwa ni siku moja tu tangu Amiss Tambwe alupoifungia Yanga goli dhidi ya Simba Goli ambalo mfungaji alionekana kuusukuma mpira kwa mkono kabla hajafunga
Goli hilo limeshuhudiwa ikiwa ni siku moja tu tangu Amiss Tambwe alupoifungia Yanga goli dhidi ya Simba Goli ambalo mfungaji alionekana kuusukuma mpira kwa mkono kabla hajafunga
Angalia highlights za mchezo huo hapa

No comments