WAKATI PEP GUADIOLA AKIMPA MASHARTI YA KUOMBA MSAMAHA ILI ACHEZE,YAYA TOURE AAMUA KUACHANA NA "SOKA"
Wakati Kocha mkuu wa Manchester City Pep Guadiola akimwambia kiungo wa Timu hiyo Yaya Toure amwambie wakala wake aiombe radhi Manchester City baada ya kuisema vibaya.
Wakala wa Yaya Toure Dimitri Seluki ameibuka na kumwambia Pep Guadiola hana haja ya kuomba msamaha kwa alichokisema "Yani ameshinda mechi hizi chache ndiyo ameshajiona yeye ni mfalme?" Alihoji wakala huyo mwenye nyodo.
Dimitri alikaririwa mapema mwezi huu akisema Manchester City haimtendei haki Yaya Toure kufuatia mchezaji huyo kuachwa katika orodha ya wachezaji watakaoichezea City katika ligi ya mabingwa radhi na kutomchezesha katika mechi kadhaa kitendo kilichomkera Pep Guakadha na kumtaka Yaya amwambie wakala wake aiombe radhi City lazivyo hatacheza mechi yoyote akiwa na Man City.
Wakati sakata hili likipamba katika vichwa vya habari za soka leo mwenyewe Yaya Toure ametangaza kustaafu rasmi kucheza soka la kimataifa yani kuichezea timu yake ya taifa ya Ivory Coast ambayo ameichezea michezo 102 na kufunga magoli 12.

No comments