SADIO MANE AZIDI KUKIMBIZA,ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI WA PFA YA ENGLAND
Mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane amechaguliwa na mashabiki kuwa mchezaji bora wa Ligi kuu ya Uingereza kwa mwezi Agost na Septemba kupitia chama cha wachezaji wa kulipwa nchini England PFA.
Sadio Mane aliyejiunga na Liverpool msimu huu ameshafunga mabao matatu tangu kuanza kwa ligi hiyo mapema mwezi uliopita na amewashinda Kevin De Bryune wa Manchester City na Etienne Capoue wa Wa Watford.
Jumla ya Kura 78,000 zilipigwa kupitia mtandao wa Sky Sports, Mane akiibuka na ushindi wa kura 38,199 huku nyota wa Manchester City Kevin De Bruyne akishika nafasi ya pili kwa kura 24,340 akifuatiwa na Kiungo wa Watford Etienne Capoue alieshika nafasi ya tatu kwa kura 6nyota
Katika watu sita waliokuwa wakigombania nafasi hiyo Diego Costa nafasi ya nne kwa kura 4,247 nafasi ya tano ikienda kwa Michael Antonio 3,116 wa West Ham United na wa mwisho ni Curtis Davini wa Hull City aliyepata kura 1,837
Mchezaji huyo raia wa Senegal mwenye umri wa miaka 24 ndiye mchezaji ghali kabisa toka bora la Afrika baada ya uhamisho wake wa paundi milioni 41.2 kutoka Southampton katika dirisha la usajili lililopita.

No comments