POGBA AIBUKIA KWA MABINGWA LEICESTER ASHAPIGA BAO 1

Mchezaji aliyezua gumzo katika usajili wake kwa pesa nyingi zilizotumika Paul Pogba huku akishindwa kuonyesha makali dimbani ameshafunga bao 1 wakati Man United ikicheza na mabingwa Leicester City.


Mpaka sasa ikiwa ni mapumziko tayari Man united inaongoza kwa bao 4-0 Magoli ya Chriss Smalling,Juan Mata,Paul Pogba na Marcus Rashford.

Nahodha wa mchezo wa leo ni Smaling baada ya Jose Mourinho kumwacha bench Wayne Rooney.


No comments

Powered by Blogger.