MAN UNITED YAANZA KWA KICHAPO,GENK YA SAMATA NAYO YAPIGWA

Kikosi cha Man United chini ya kocha Jose Mourinho kimekumbana na kichapo cha bao 1-0 toka kwa Feyenoord ya Uholanzi.


Mchezo huo wa kwanza kwa timu hizo katika michuano ya Europa league kundi A ulishuhudia United ikifungwa bao pekee dakika ya 78 baada ya kupigwa shambulizi la kushtukiza.

Katika mechi nyingine ya kundi hiloFC Zorya ilitoka sare ya bao 1-1 na Wageni Fernebahçe

Kwa upande wa Genk ya Ubelgiji ilipoteza mchezo wake wa kwanza baada ya kukubali kichapo cha bao 3-2 toka kwa Rapid Wien katika mchezo ambao Mbwana Samatta alicheza dakika 78 za Mwanzo.

MATOKEO YA MECHI ZINGINE

KUNDI A
  • Feyenoord 1-0 Manchester United 
  •  Zorya 1-1 Fenebahce
KUNDI B
  • Young Boys 0-1 Olimpiacos
  • APOEL 2-1 Astana
KUNDI C
  • Mainz 05 1-1 Saint Ètienne
  • Anderletch 3-1 Qabala
KUNDI D
  • Maccabi TA 3-4 Zenit
  • AZ Alkmaar 1-1 Dundalk
KUNDI E
  • Astra 2-3 Austria Wien
  • Victoria Plzen 1-1 AS Roma
KUNDI F
  • Rapid Wien 3-2 Genk
  • Sassuolo 3-0 Athletic Bilbao

MECHI ZINGINE ZINAENDELEA MUDA HUU


No comments

Powered by Blogger.