KUZIONA SERENGETI BOYS NA CONGO LEO BURE KABISA
Serikali kupitia Waziri wa Habari Utamaduni Wasanii na Michezo Mheshimiwa Nape Nnauye amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu yetu ya Taifa ya vijana Serengeti Boys.
Serengeti itacheza na Congo Brazaville katika mechi ya kuwania kufuzu kwa fainali za vijana za Afrika.
Hakutakuwa na kiingilio katika mechi hiyo ili kuwapa fursa Watanzania wengi kujitokeza kuishangilia timu yao kwenye mechi hiyo itakayopigwa katika dimba la Taifa jijini Dar kuanzia saa 10 jioni leo.

No comments