KIJIWE CHA WAPENDA SOKA : MAONI YA WAPENDASOKA KUELEKEA KATIKA MECHI YA MAN UNITED VS MAN CITY
Karibu tena kijiweni Mpendasoka Mwenzangu ambapo leo tutaitazama mechi kati ya watani wa jadi wa jiji la Manchester Yani Man United watakaokuwa nyumbani kuwaalika Man City.
Na haya ndiyo yaliyoandikwa na Wapenda Soka katika kundi letu katika Mtandao wa Whatsap
Ameandika EDO DC
..katika mwaka ambao Waingereza wamefanikiwa basi ni mwaka huu.
Achana na Usajili wa Pogba kuvunja rekodi ya dunia ambapo kila kinywa cha Mpenda Soka kilizungumza kwa namna moja au nyingine.
Huu usajili wa Makocha bora wa dunia katika ligi kuu ya England ndiyo hasa umeongeza chachu ya kuifatilia ligi hii.
Hakuna asiyejua uwezo wa Pep Guadiola na mafanikio aliyoyapata akiwa na umri mdogo tu.
Hakuna asiyejua uwezo wa Jose Mourinho na mafanikio yake katika soka
Hakuna asiyejua uwezo wa Antonio Conte na mafanikio yake katikaWenger
Hakuna asiyejua uwezo na mafanikio ya Jurgen Klopp katika ulimwengu wa Soka
Sasa pata picha makocha wote hao unawashuhudia katika ligi moja ambayo tayari ina makocha wanaoheshimika kama Arsene WeSoka wa Arsenal, Ronald Koeman wa Everton,Allan Pawdew na wengineo.
Sasa Tuangalie pambano hili la leo ambalo litaanza majira ya saa 8 na nusu kwa saa za Afrika Mashariki.
Naipa nafasi kubwa sana Manchester United kushinda katika pambano hili nikiwa na sababu hizi:-
1. KUTUMIA UWANJA WA OLD TRAFFORD
Moja ya kitu ambacho kocha Jose Mourinho amefanikiwa ni kuwaogopesha wapinzani na kutokubali kufungwa akiwa katika uwanja wake wa nyumbani na hii nimeiona katika mechi ya Southampton jinsi timu ilivyocheza inashawishi kabisa kuamini vijana hawatakubali kupoteza.
2. UIMARA WA KIKOSI CHA UNITED
Moja ya kitu nilichokiona katika kikosi hiki cha United ni Uimara wa wachezaji wanaoanza na wale walioko benchi na hii inatiwa chachu zaidi na kuongezeka kwa Ibrahimov,Pogba,Bailly na Mikytaryan kikosini. Kumbuka United hii msimu uliopita ikicheza bila ya kuwa na wachezaji wa uhakika iliweza kuibuka na ushindi dhidi ya City.
3. HAMASA YA MOURINHO
Msimu uliopita United ilikosa kocha mwenye hamasa kwani muda wote Lous Van Gaal alikua ameketi wakati timu inapambana uwanjani tofauti na sasa ambapo Mourinho amekua akihamasisha vilivyo wachezaji wake hali inayowafanya kujituma zaidi na kutomwangusha. Mfano ni Valencia na Fellain ambao katika mechi tatu za mwanzo wamekua moto wa kuotea mbali.
4. KUKOSEKANA KWA YAYA TOhao,JOE HART NA AGUERO
Katika wachezaji ambao walikua wanaamua matokea ya Manchester City kwa miaka ya hivi karibuni basi Yaya Toure,Aguero na kipa Joe Hart ni miongoni mwao.
Nguvu akili na vipaji vilikua vinawabeba mno wachezaji hao wanapocheza dhidi ya Man United lakini mechi ya leo itawakosa watu hawa sijui nini alichopanga Kocha Pep Guadiola lakini sioni mbadala wa wachezaji hao
Kwa Upande wa Manchester City watakua na kazi ngumu sana kwanza kuhakikisha wanawazuia wachezaji wenye uchu wa mafanikio kama Zlatan Ibrahimovic,Pogba na hata Wayne Rooney huku wakimtumia kijana mgeni katika safu ya Ulinzi John Stones maana sina hakika kama Vicent Kompany atacheza.
Lakini pia sijajua kipa yupi atacheza kwa Upande wa Man City lakini naona hapo napo kuna tatizo japokua Pep Guadiola ni kocha mzuri anayeweza kupanga vyema safu yake kuibuka na ushindi na mara zote amekua akifanikiwa hasa katika falsafa ya kuwaaminisha wachezaji usiowategemea.
Utabiri wangu Man United 3-1 Man City.
Ameandika MESSI MSANGI
Binafsi timu kama timu sina haja nazo sana issue ipo kwa makocha mbinu zao tofauti
Pamoja na united kuwa nyumbani naamini wataingia na approach ya kuzuia kwanza huku wakijaribu kutumia mashambulizi ya kushtukiza naona nafasi ya Mata au Martial akiichukua yule mua Armenia (Mikitaryan) pia ninahisi Jesse Lingard anaweza anza hiyo Game kwa speed yake.
Kwa upande wa City tutegemee watatawala sana mchezo kupitia kina Fenandinho na wenzake na pia nategemea watatumia false striker kati ya Silva au Sterling mmoja anaweza anza pale au wanaweza mwamini Iheanacho yule dogo japo simpi nafasi sana
Utabiri wangu Man United 1-1 Man City
Ameandika ERIC TEMU
Utabiri wangu viungo wa third line ya Man City watakua na nguvu kubwa kuliko United, in depth Pogba hatakua na raha ya kucheza kwa uwepo wa Fenadinho
Beki ya Man City siiamini kwa uwepo wa Ibrahimovic
Natabiri Man United 2-1 Man City
Ameandika BAKARI MTITIMA
Binafsi Mimi sio muumini wa mfumo wa Ufundishaji wa Pep na bado siamin kama ni aina ya Mpira unaohitajika kwa Sasa Uingereza
Well kwa upande wa Mourinho naamini katika kujenga Philosophy ya ushindi kwa kikosi chake kitu ambacho Manchester United walikipoteza toka Sir Alex Ferguson aondoke.
Uwepo wa Paul Pogba na Ibra Kadabra na katika first Derby toka arejee naona ubora mkubwa zaidi upande wa Manchester United.
Utabiri wangu Man United 2-1 Man City
Ameandika FES ARSENAL
Makocha kivutio cha mechi Mbinu zao zitaamua mechi ya leo.
Timu hazina madhaifu makubwa sana
Hofu yangu kwa Man City na falsafa mpya ila ikiwakubali Man Utd itakuwa na hali ngumu kidogo.
Beki ya Man City haiko sawa kivile hivyo washambuliaji wa Man United wakiwa makini wanaweza nufaika kwa hilo
kukosekana kwa Aguero ni pigo kwa Man City kifikra ila yaweza kuwa hatari kwa man utd wakiliwaza hilo maana mfumo wa sasa wa man cty mtu yeyote anafunga goliii
Ni bonge la game siyo la kukosa litakuwa na vitu adimu sanaaaa
Debryne vs mou
Kadabra vs pep
Tafadhali usikose ladha hizo leo
Utabiri wangu mimi
FES ARSENAL
Man utd 1
Man ctCit
Ameandika GODLISTEN ANDERSON CHICHARITO
Mawazo yangu juu game ya leo mimi nayaweka pande mbili.
1.MAKOCHA
Hapa kula mmoja anafahamu kuwa hawa ni kati ya makocho bora duniani na hakuna mwenye wasiwasi na uwezo wao.
Kuelekea game ya leo kila mwalimu ana kazi kubwa sana kuwafanya wale wanao mwamini waweze kuendelea kumuamini au la wasimuamini tena kuanzia leo.
Hapa walimu wote wawili leo hii najua watakuja na mbinu tofauti sana na naamini kila mmoja atakuja kwa nia moja ya ushindi wa point tatu.
Mchezo huu unakuwa mgumu kwa waalimu wote wawili kwani wanakutana kwa mara ya kwanza kwenye ligi kuu england wote wawili wakiwa ni mameneja waliopata kazi kwenye vilabu hivyo msimu huu.
Kocha wa united anakuwa na asilimia 55 ya ushindi wa leo kwa advantage moja tu ya unyumbani.
Kocha wa city mimi nampa asilimia 45 za kushinda mchezo huu.
Tutarajie mbinu mpya kabisa kwa vikosi vyote viwili.
2.VIKOSI
Hapa mimi natarajia kuona vikosi vitakavyokuwa na uwezo wa kushambulia kwa kasi sana pia na kukaba kwa pamoja kuanzia kwenye zone ya adui.
Tutarajie mpira mwingi sana eneo la kati kati ya uwanja pia kutakua na mapambano makali sana upande wa kulia na kushoto wa pande zote mbili kwa nature ya wings na full backs zinazocheza leo hii.
Upande wa beki wa kati nadhani leo hii mwafrika erick baily atazidi onyesha kwanini amepewa tuzo ya kuwa mchezaji bora wa mwezi wa united na pua kwa upande wa city najua Jones kijana wa kiingereza huyu naye atakua na kazi kubwa sana ya kupambana na Ibra.
Kwenye magoli bado united atakua na advantage ya kua na Degea kwa umahiri wake pia kwa uapande wa city mimi naona bado kunatatizo kutokana na kutokuwepo Joe.
Kwa ujumla mpira wa leo urakuwa mzuri sana na wakuvutia ila tu hautokuwa na magoli mengi.
Utabiri wangu. Man UNITED 2-1 Man City
TUKUTANE SIKU NYINGINE HAPA HAPA KIJIWENI YA WAPENDA SOKA TANZANIA.
....S⚽KA LETU | JAMII YETU

pamoja na yote ikumbukwe mpira ni dakika 90,lolote laweza kutokea.
ReplyDeletepamoja na yote ikumbukwe mpira ni dakika 90,lolote laweza kutokea.
ReplyDelete