ALICHOSEMA MOURINHO BAADA YA KUFUNGWA NA MAN CITY

Mechi baina ya Manchester United na Manchester City imemalizika kwa Unites kufungwa bao 2-1.


Magoli ya Kevin De Bruyne na Kelechi Iheanacho upande wa Man City huku Zlatan Ibrahimovic akifunga bao pekee la Manchester United. Magoli yote yakifungwa kipindi cha kwanza cha mchezo huo ukiotawaliwa na Manchester City hasa kupindi cha kwanza.

Baada ya kipigo hicho Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amesema haya
"Kipindi cha kwanza hatukucheza vizuri na hii ilitokana na kuanza na wachezaji ambao hawakuendana na kasi ya mchezo lakini kipindi cha pili mambo yalibadilika"

Alipoulizwa kama anawalaumu wachezaji waliomwangusha amesema "Hapana Ni Jambo la kawaida kwa wachezaji wanaweza kukuangusha leo kesho wakakufurahisha"

Kwa Upande wake Pep Guadiola yeye alisifia hali ya upambanaji lwa wachezaji wake hasa kipindi cha kwanza.

No comments

Powered by Blogger.