HUU NDIYO USAJILI WA WACHEZAJI ULIOFANYWA JANA BARANI ULAYA
Siku ya mwisho ya Usajili wa wachezaji ilikua jana ambapo klabu mbalimbali zilifanikiwa kumalizia usajili wao
Wachezaji hawa ndiyo waliofanikiwa kusajiliwa siku ya jana wakati usajili ukikamilishwa.
● David Luiz -Toka Paris Saint-Germain kwenda Chelsea kwa ada ya uhamisho paundi milioni 32 mkataba wa miaka mitatu.
● Moussa Sissoko - Toka Newcastle United kwenda Totteham kwa paundi milioni 30 kwa mkataba wa miaka mitano.
● Hal Robson-Kanu - Mchezaji huru amejiunga na West Brom kwa miaka miwili
● Jack Wilshere -Toka Arsenal kwenda Bournemouth kwa mkopo wa msimu mzima.
● Islam Slimani - Toka Sporting Lisbon kwenda Leicester City kwa paundi milioni 30 kwa mkataba wa miaka mitano.
● Enner Valencia - Toka West Ham kwenda kwenda Everton kwa mkopo wa msimu mzima.
● Alvaro Arbeloa - Mchezaji huru amejiunga na West Ham kwa mkataba wa mwaka mmoja.
● Mario Balotelli - Toka Liverpool kwenda Nice ya Ufaransa kwa uhamisho huru.
● Markus Henriksen - Toka AZ Alkmaar kwenda Hull City kwa mkopo wa msimu mzima.
● Matt Miazga - Toka Chelsea kwenda Vitesse,mkopo wa msimu mzima.
● Joel Castro Pereira - Kutoka Manchester United kwenda Belenenses ya Ureno kwa mkopo wa msimu mzima.
● Dieumerci Mbokani - Kutoka Dynamo Kiev kwenda Hull City kwa mkopo wa msimu mzima.
● Joselu - Kutoka Stoke City kwenda Deportivo La Coruna kwa mkopo.
●James Weir - Kutoka Manchester United kwenda Hull City mkataba wa miaka mitatu .
● Lazar Markovic - Kutoka Liverpool kwenda Sporting Lisbon kwa mkopo.
● Jason Denayer - Kutoka Manchester City kwenda Sunderland kwa mkopo.
● Dominic Calvert-Lewin - Kutoka Sheffield United kwenda Everton kwa mkataba wa miaka mitatu
● Pau Lopez - Kutoka Espanyol kwenda Tottenham kwa mkopo
● Juan Cuadrado - Kutoka Chelsea kwenda Juventus kwa mkopo wa miaka mitatu.
● Georges-Kevin Nkoudou - Kutoka Marseille kwenda Tottekwendakiasi cha paundi milion 11
● Allan Nyom - Kutoka Watford kwenda Westkwenda kwa kiasi cha paundi milioni 3 akisaini mkataba wa miaka minne.
● Andre Wisdom - Kutoka Liverpool kwenda Red Bull Salkwend kwa mkopo.
● Joe Hart - Kutoka Manchester City kwenda Torino kwa mkopo.
● Samir Nasri - Kutoka Manchester City kwenda Sevilla kwa mkopo.
● Wilfried Bony - Kutoka Manchester City kwenda Stoke City kwa mkopo
● Luis Alberto - Kutoka Liverpool kwenda Lazio, £6m
● Shani Tarashaj - Kutoka Everton kwenda Eintracht Frakwenda kwa mkopo.
● Gokhan Inler - Kutoka Leicester Kwenda Besiktas, mkataba wa miaka mitatu.
● Lee Grant - Kutoka Derby kwenda Stoke mkopo wa muda mfupi.
● Cristian Cuevas - Kutoka Chelsea to Sint-Truiden, mkopo
● Franck Tabanou - Kutoka Swansea kwenda Granada, mkopo
● Didier Ndong - Kutoka Lorient kwenda Sunderland, kwenda kwa mkataba wa miaka mitano.
● Serge Gnabry - Kutoka Arsenal kwenda Werder Bremen,
● Shay Facey - Kutoka Manchester City kwenda Heerenveen, mkopo.
● Adama Traore - Kutoka Aston Villa kwenda Middlesbkwenda mkataba wa miaka minne.
● Bruno Martins Indi - Kutoka Porto kwenda Stoke, mkopo
● Marcos Alonso - Kutoka Fiorentina kwenda Chelsea, £24
● Eliaquim Mangala - Kutoka Manchester City kwenda Valencia, mkopo
● Philipp Wollscheid - Kutoka Stoke kwenda Wolfsburg, mkopo.
● Cameron McJannett - Kutoka Luton kwenda Stoke,
● Baily Cargill - Kutoka Bournemouth kwenda GKutokwenda mkopo
● Mihai Dobre - Kutoka Viitorul Constanta kwenda Bournemouth

No comments