SIMBA YAMALIZA KAMBI MORO KWA KICHAPO

Wekundu wa Msimbazi Simba wamemaliza kambi yao ya mazoezi mkoani Morogoro kwa kichapo cha bao 1-0 ikiwa ni mechi ya mwisho ya maandalizi mjini humo.


Simba ilikubali kichapo hicho toka kwa timu ya Daraja la kwanza Kinondoni Municipal Council (KMC)

Simba inarejea Dar es Salaam sasa tayari kujiandaa na mchezo wa Simba Day dhidi ya AFC Leopards ya Kenya siku ya Jumatatu

No comments

Powered by Blogger.