SIKU MOJA BAADA YA KUIKANDAMIZA BARCELONA,LIVERPOOL YARUDISHIWA ZILE GOLI 4

Siku moja baada ya kuikandamiza Barcelona bao 4-0, Liverpool imejikuta ikipigwa bao hizo hizo 4-0 toka kwa Mainz ya Ujerumani.


Mechi hiyo ya kujipima nguvu ilishuhudiwa kocha wa Liverpool akianzisha kikosi chenye tofauti kubwa na kilichoanza Jumamosi dhidi y Barcelona.

Mainz walijipatia magoli yao kupitia kwa mlinzi Daniel Brosinski kwa njia ya penati, Jhon Copete akafunga la pili huku Yunus Malli akifunga la tatu kabla ya kiungo japani Muto Yoshinori hajafunga bao la 4.

No comments

Powered by Blogger.