SAKATA LA HASSAN KESSY NA SIMBA SC KUAMULIWA JUMAPILI
Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji Jumapili ya Septemba 4, 2016 inatarajiwa kutoa hukumu ya shauri la mchezaji Hassan Ramadhan Kessy anayedaiwa na Klabu ya Simba kuvunja mkataba kwa kuanza kufanya mazoezi na klabu ya Young Africans sambamba na kusajili katika timu hiyo ya Mtaa wa Jangwani, Dar es Salaam kabla ya mkataba wake kufika mwisho Juni 15, 2016.
Simba imelalamika mbele ya kamati hiyo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuwa, mchezaji Hassan Kessy alivunja taratibu hizo akiwa ndani ya mkataba wa klabu hiyo yenye mashakani yake Barabara ya Msimbazi jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati hiyo, shauri hilo lilisikilizwa na uamuzi wake utatolewa Jumapili ijayo. Hii ni baada ya kushindikana kusikilizwa kwa shauri jingine linalohusu Klabu Simba ikiilalamikia Klabu Young Africans, kuingia mkataba na mchezaji Hassan Ramadhani Kessy wakati bado ana mkataba na klabu Simba.
Shauri la Simba dhidi ya Young Africans lilishindika kusikilizwa kwa sababu Young Africans hawakutokea mbele ya kamati hiyo wakati wa kusikiliza shauri hilo, hivyo kamati itaiandikia barua Young Africans kukumbushwa kuhudhuria kwenye kesi hiyo Jumapili ijayo kabla ya kutolewa uamuzi. Kama hawakutokea tena, shauri hilo litasikilizwa upande mmoja na kutolewa uamuzi upande mmoja.
Katika mashauri mengine,
(ii) KISA inadai fidia za malezi kwa Kagera Sugar baada ya kumsajili mchezaji Hussein Abdallah, ambako Kamati imeridhia pande mbili kwenda kulimaliza suala hilo nje ya kamati kama ambavyo wameomba. Wamepewa wiki moja kufanya hivyo na na kuleta yatokanayo TFF.
(iii) KISA inadai fidia za malezi kwa Mtibwa Sugar baada ya kumsajili mchezaji Daniel Jemedari, ambako Kamati imeridhia pande mbili kwenda kulimaliza suala hilo nje ya kamati kama ambavyo wameomba. Wamepewa wiki moja kufanya hivyo na na kuleta yatokanayo TFF.
(iv) KISA inadai fidia za malezi kwa Majimaji ya Songea baada ya kumsajili mchezaji Joseph Njovu. Shauri hili sasa litasikilizwa Jumapili ijayo ya Septemba 4, 2016 baada ya kushindikana kusikilizwa kutokana na mdaiwa Majimaji kutotokea kwenye kesi. Majimaji wameagizwa kukuhudhuria shauri hilo vinginevyo litasikilizwa upande mmoja na kutolewa uamuzi upande mmoja.
(vi) KISA inadai fidia za malezi kwa JKT Ruvu ya Pwani baada ya kumsajili mchezaji Najimu Maguru, ambako Kamati imeridhia pande mbili kwenda kulimaliza suala hilo nje ya kamati kama ambavyo wameomba. Wamepewa wiki moja kufanya hivyo na na kuleta yatokanayo TFF.
Simba imelalamika mbele ya kamati hiyo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuwa, mchezaji Hassan Kessy alivunja taratibu hizo akiwa ndani ya mkataba wa klabu hiyo yenye mashakani yake Barabara ya Msimbazi jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati hiyo, shauri hilo lilisikilizwa na uamuzi wake utatolewa Jumapili ijayo. Hii ni baada ya kushindikana kusikilizwa kwa shauri jingine linalohusu Klabu Simba ikiilalamikia Klabu Young Africans, kuingia mkataba na mchezaji Hassan Ramadhani Kessy wakati bado ana mkataba na klabu Simba.
Shauri la Simba dhidi ya Young Africans lilishindika kusikilizwa kwa sababu Young Africans hawakutokea mbele ya kamati hiyo wakati wa kusikiliza shauri hilo, hivyo kamati itaiandikia barua Young Africans kukumbushwa kuhudhuria kwenye kesi hiyo Jumapili ijayo kabla ya kutolewa uamuzi. Kama hawakutokea tena, shauri hilo litasikilizwa upande mmoja na kutolewa uamuzi upande mmoja.
Katika mashauri mengine,
Mathias Lule v Stand United
Malalamiko ya Kocha Mathias Lule. Lule anadai mshahara, usajili na bima ya matibabu kwa Stand United. Kamati imeridhia pande mbili kwenda kulimaliza suala hilo nje ya kamati kama ambavyo wameomba. Wamepewa wiki moja kufanya hivyo na na kuleta yatokanayo TFF.Ametre Richard v Simba
Madai ya malimbikizo ya mishahara kwa Ametre Richard dhidi ya Simba. Kamati imeridhia pande mbili kwenda kulimaliza suala hilo nje ya kamati kama ambavyo wameomba. Wamekubaliana kukutana Jumatano Agosti 31, 2016 na kuleta yatokanayo TFF.Wachezaji watatu v Mbeya City
Kamati umeamua kuwa Mbeya City ya Mbeya iwalipe wachezaji wake wa zamani, Abdallah Juma, Temi Felix na Erick Mawala madai yote ya malimbikizo ya mshahara na fedha za usajili.Kinondoni Sports Academy (KISA) v klabu 5 za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
(i) KISA inadai fidia za malezi kwa Azam baada ya kumsajili mchezaji Omary Maunda, ambako Kamati imeridhia pande mbili kwenda kulimaliza suala hilo nje ya kamati kama ambavyo wameomba. Wamepewa wiki moja kufanya hivyo na na kuleta yatokanayo TFF.(ii) KISA inadai fidia za malezi kwa Kagera Sugar baada ya kumsajili mchezaji Hussein Abdallah, ambako Kamati imeridhia pande mbili kwenda kulimaliza suala hilo nje ya kamati kama ambavyo wameomba. Wamepewa wiki moja kufanya hivyo na na kuleta yatokanayo TFF.
(iii) KISA inadai fidia za malezi kwa Mtibwa Sugar baada ya kumsajili mchezaji Daniel Jemedari, ambako Kamati imeridhia pande mbili kwenda kulimaliza suala hilo nje ya kamati kama ambavyo wameomba. Wamepewa wiki moja kufanya hivyo na na kuleta yatokanayo TFF.
(iv) KISA inadai fidia za malezi kwa Majimaji ya Songea baada ya kumsajili mchezaji Joseph Njovu. Shauri hili sasa litasikilizwa Jumapili ijayo ya Septemba 4, 2016 baada ya kushindikana kusikilizwa kutokana na mdaiwa Majimaji kutotokea kwenye kesi. Majimaji wameagizwa kukuhudhuria shauri hilo vinginevyo litasikilizwa upande mmoja na kutolewa uamuzi upande mmoja.
(v) KISA inadai fidia za malezi kwa Toto African ya Mwanza baada ya kumsajili mchezaji Jafari M. Jafari, ambako Kamati imeridhia pande mbili kwenda kulimaliza suala hilo nje ya kamati kama ambavyo wameomba. Wamepewa wiki moja kufanya hivyo na na kuleta yatokanayo TFF.

No comments