NEWCASTLE YAANZA CHAMPIONSHIP KWA KICHAPO

Kikosi cha kocha Newcastle United kimeanza vibaya ligi ya Championship kwa kufungwa bao 1-0 na Fulham katika mechi ya ufunguzi wa ligi hiyo.

Kikosi cha kocha Rafael Benitez kimeanza kampeni hiyo ya kurudi ligi kuu ya England ugenini katika dimba la Creven Cottage jijini London.

Goli pekee la Fulham lilifungwa na Matt Smith kwa kichwa dakika chache kabla ya mapumziko.




No comments

Powered by Blogger.