KUELEKEA UPANGAJI MAKUNDI EUROPA : ZIJUE TIMU ZOTE NA MAKUNDI WATAKAYOPANGWA
Droo ya makundi ya michuano ya Europa League ambayo kwa mara ya kwanza mwaka huu tutakua tukimshuhudia Mtanzania akicheza yani Mbwana Samatta na klabu yake ya Genk ya Ubelgiji,Inapangwa mchana huu.
Upangaji wa makundi ya michuano hiyo ambayo ni ya pili kwa ukubwa katika ngazi ya klabu utafanyika katika makao makuu ya Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA jijini Monaco Ufaransa kuanzia saa 8 kwa saa za hapa nyumbani.
Jumla ya timu 48 zitapangwa katika makundi 12 kutoka katika vyungu vinne vyenye jumla ya timu 12 kila chungu zikipangwa kutokana na ubora wa klabu katika takwimu za shirikisho hilo (Club Coefficients).
Kila chungu kitatoa timu moja huku chungu cha kwanza kikibeba timu itakayounda kundi hilo.
Hakuna timu za nchi moja zitakazoweza kukutana katika hatua hii na hakuna timu ya Russia itakayopangwa kucheza na timu kutoka Ukraine.
VYUNGU VYA TIMU (POTS)
Pot 1
Schalke (GER)
Zenit (RUS)
Manchester United (ENG)
Shakhtar Donetsk (UKR)
Athletic Club (ESP)
Olympiacos (GRE)
Villarreal (ESP)
Ajax (NED)
Internazionale Milano (ITA)
Fiorentina (ITA)
Anderlecht (BEL)
Viktoria Plzeň (CHE)
Pot 2
AZ Alkmaar (NED)
Braga (POR)
Salzburg (AUT)
Roma (ITA)
Fenerbahçe (TUR)
Sparta Praha (CZE)
PAOK (GRE)
Steaua Bucureşti (ROU)
Genk (BEL)
APOEL (CYP)
Standard Liège (BEL)
St-Étienne (FRA)
Pot 3
Gent (BEL)
Young Boys (SUI)
Krasnodar (RUS)
Rapid Wien (AUT)
Slovan Liberec (CZE)
Celta Vigo (ESP)
Maccabi Tel-Aviv (ISR)
Feyenoord (NED)
Austria Wien (AUT)
Mainz (GER)
Zürich (SUI)
Southampton (ENG)
Pot 4
Panathinaikos (GRE)
Sassuolo (ITA)
Qarabağ (AZE)
Astana (KAZ)
Nice (FRA)
Zorya Luhansk (UKR)
Astra Giurgiu (ROU)
Konyaspor (TUR)
Osmanlıspor (TUR)
Qäbälä (AZE)
Hapoel Beer-Sheva (ISR)
Dundalk (IRL)
NOTE: Mechi za michuano hiyo zitachezwa siku ya Alhamisi za tarehe 15 na 29 Septemba, tarehe 20 Octoba na 3 Novemba, Tarehe 24 Novemba na 8 Disemba mwaka huu 2016.
No comments