BAADA YA KUFUNGA BAO 2 JANA SAMATTA SASA AONGOZA ORODHA YA WAFUNGAJI BORA UBELGIJI

Nahodha wa Tanzania anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta jana alifunga mabao mawili katika ushindi wa bao 3-0 walioupata katika ligi kuu ya Ubelgiji dhidi ya Lokeren.



Mchezo huo uliopigwa katika dimba la Daknamstadion ulikua ni wa mzunguko wa nne wa ligi hiyo ya Ubelgiji.

Samata alifunga mabao yote mawili kipindi cha kwanza huku kiungo Leon Bailey akifunga bao la 3.

Samatta sasa amefikisha jumla ya magoli manne katika orodha ya wafungaji bora

No comments

Powered by Blogger.