TAMBWE NA NGOMA KUONGOZA MASHAMBULIZI YA YANGA USIKU HUU HUKO ALGERIA
Mabingwa wa Soka Tanzania bara na wawakilishi pekee wa Tanzania na Afrika mashariki waliobaki katika michuano ya KOMBE LA SHIRIKISHO barani Afrika Yanga wanajitupa uwanjani usiku huu kucheza na wenyeji Mo Bejaia ya Algeria.
Yanga ipo katika kundi A ambalo lina timu 4 wakiwemo Mabingwa wa Afrika TP Mazembe ya Congo DR, MO Bejaia ya Algeria na Medeama ya Ghana.
Kikosi kiko hivi
1. Deo Munishi
2.Mbui Twite
3.Oscar Joshua
4.Vicent Bossou
5.Kelvin yondan
6.Thaban Kamusoko
7.Saimon Msuva
8.Haruna Niyonzima
9.Donald Ngoma
10.Amis Tambwe
11.Kaseke Deus
Sub
1.Ally Mustapha "Bartez"
2.Pato Ngonyani
3.Hajj Mwinyi
4.Matheo Antony
5.Geoffrey Mwashiuya
Yanga ipo katika kundi A ambalo lina timu 4 wakiwemo Mabingwa wa Afrika TP Mazembe ya Congo DR, MO Bejaia ya Algeria na Medeama ya Ghana.
Kikosi kiko hivi
1. Deo Munishi
2.Mbui Twite
3.Oscar Joshua
4.Vicent Bossou
5.Kelvin yondan
6.Thaban Kamusoko
7.Saimon Msuva
8.Haruna Niyonzima
9.Donald Ngoma
10.Amis Tambwe
11.Kaseke Deus
Sub
1.Ally Mustapha "Bartez"
2.Pato Ngonyani
3.Hajj Mwinyi
4.Matheo Antony
5.Geoffrey Mwashiuya
No comments