RASMI: IBRAHIMOVIC KUSTAAFU KUICHEZEA TIMU YA TAIFA BAADA YA EURO
Mshambuliaji na nahodha wa timu ya taifa ya Sweden Zlatan Ibrahimovic atastaafu rasmi kuichezea timu yake ya taifa ya Sweden mara baada ya michuano ya Euro 2016.
Zlatan aliyefunga mabao 62 katika mechi 115 alizoichezea Sweden amesema leo mechi dhidi ya Ubelgiji ambayo Sweden wanatakiwa kushinda ili kutinga hatua ya 16 inaweza kuwa ya mwisho kwake kama watafungwa na kutolewa katika mashindano hayo.
Kuna taarifa nyingi zinazomuhusisha mchezaji huyo kujiunga na Manchester United na inasemekana mpango wa kustaafu kuchezea timu ya taifa ni kutaka kupata muda zaidi wa kuitumikia timu hiyo.

No comments