MODRIĆ APIGA BONGE LA GOLI CROATIA IKIIFUNGA UTURUKI (+VIDEO)

Timu ya taifa ya Croatia imeinyuka Timu ya Taifa ya Uturuki kwa bao 1-0 katika mchezo wa kundi D la michuano ya Euro 2016 katika dimba la Parc De Prience jijini Paris.


Shujaa wa mchezo huo alikua Luka Modrić aliyefunga kwa shuti kali dakika chache kabla ya mapumziko bao ambalo lilidumu mpaka mwisho wa mchezo.

Kama kawaida tumekuwekea highlights za mchezo huo kama hukupata muda wa kuuangalia


1 comment:

Powered by Blogger.