EURO 2016: URENO YAAMBULIA SARE, HUNGARY YATOA DOZI NZITO (+Video Highlights )

Timu ya Taifa ya Ureno Imeanza kampeni zake za kuwania ubingwa wa michuano ya Euro 2016 kwa sare ya bao 1-1  na Taifa dogo kabisa katika michuano hiyo Iceland.




Licha ya Luis Nani kutangulia kuwapa Ureno goli la kuongoza bado Iceland walikomaa na kurudisha bao hilo kupitia kwa Birkir Bjanarson baada ya mabeki wa Ureno kushindwa kuzuia mpira wa krosi kumfikia mfungaji.

Katika mechi ya awali katika Kundi hilo la FA Hungary waliilambisha Austria bao 2-0 wafungaji wakiwa ni  Adam Szalai na Zoltan Stieber

HIGHLIGHTS ZA MICHEZO HIYO


URENO 1-1 ICELAND



AUSTRIA 0-2 HUNGARY

No comments

Powered by Blogger.