EURO 2016: UJERUMANI NA POLAND ZAANZA KWA USHINDI (+ VIDEO HIGHLIGHTS ZA MECHI)

Mabingwa Wa dunia Ujerumani wameanza vyema mechi zao za katika kundi C la michuano ya Ulaya Euro 2016 kwa kuifunga Ukraine kwa bao 2-0.

Mustafi alitangulia kuipatia Ujerumani bao la kwanza dakika ya 19 tu ya mchezo kwa kichwa akitumia vyema mpira wa faulo ya Toni Kroos kabla ya Bastian Schwensteiger Hajafunga bao la pili dakika za mwisho za muda Wa nyongeza baada tu ya kuingia akitokea benchi.

Katika mechi nyingine Poland waliifunga Ireland ya kaskazini kwa bao 1-0 bao pekee la Arkadiuzc Milik dakika ya 51.

HIGHLIGHTS ZA MECHI HIZO

UJERUMANI 2-0 UKRAINE


POLAND 1-0 NORTH IRELAND




No comments

Powered by Blogger.