EURO 2016: MAGOLI YA DAKIKA ZA MWISHO YAIPELEKA UFARANSA ROBO FAINALI
Wenyeji wa michuano ya Euro 2016 timu ya Ufaransa jana ilikua timu ya kwanza kutinga hatua ya Robo fainali baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Albania.
Ufaransa iliwabidi kusubiri mpaka dakika za mwisho kupata mabao mawili ya haraka kupitia kwa Antonio Griezman na Dimitri Payet na kuifanya kufikisha pointi 6 ambazo zinaweza kufikiwa na timu moja tu katika kundi A.
Katika mechi ya awali jana Romania walitoshana nguvu na Uswis kwa kwenda sare ya bao 1-1.
Kama hukuangalia mechi ya Ufaransa waweza kupata highlights hapa

No comments