EURO 2016 : GRIEZMAN APIGA BAO 2 NA KUWAPELEKA WENYEJI UFARANSA ROBO FAINALIEĎDX
Mshambuliaji wa Atletico Madrid Antonio Griezman amefunga mabao mawili ndani ya dakika 3 yaliyowawezesha Wenyeji wa michuano ya Euro 2016 Ufaransa kutinga robo fainali ya michuano hiyo
Ufaransa iliibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Jamhuri ya Ireland katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano hiyo mchezo uliopigwa majira ya jioni.
Ufaransa iliibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Jamhuri ya Ireland katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano hiyo mchezo uliopigwa majira ya jioni.
Jamhuri ya Ireland ilitangulia kupata bao dakika ya 2 tu ya mchezo likifungwa na Robbie Brady kwa penati baada ya Shane Long kuangushwa katika eneo la hatari.
Antoine Griezmann alifunga bao hizo mbili dakika za 58 na 61 matokeo ambayo yanaipeleka katika hatua ya Robo fainali ambapo itakua na na mshindi kati ya England na Iceland.

No comments