COPA AMERICA : URUGUAY YAAGA MASHINDANO KWA USHINDI, MEXICO YATOSHANA NGUVU NA VENEZUELA
Mechi mbili za mwisho za kundi C katika michuano inayoendelea ya Copa America nchini Marekani zilipigwa usiku wa kuamkia leo ambapo Uruguay walijifariji na ushindi dhidi ya Jamaica wakati Mexico wakitoshana nguvu na Venezuela.
Uruguay ambayo imepoteza nafasi ya kuendelea na michuano hiyo ilikua ikimalizia ratiba tu kwa kuifunga Jamaica kwa bao 3-0 magoli ya Abel Hernandez, Je-Vaughn Watson na Mathias Diaz.
Katika mechi nyingine vinara wa kundi hilo Mexico walitoshana nguvu na Venezuela kwa kutoka sare ya bao 1-1 na kuzifanya timu hizo kufikisha pointi 7 kila moja na kuelekea katika robo fainali.
Jose Rodriguez wa Jamaica alitangulia kufunga dakika ya 10 tu ya mchezo huku Mexico wakisawazisha kupitia kwa Jesus Ruiz dakika 10 kabla ya mchezo kuisha.

No comments