COPA AMERICA : COLOMBIA YATINGA NUSU FAINALI KWA MATUTA (+Video highlights)

Colombia imekua timu ya pili kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Copa America inayoendelea nchini Marekani.


Colombia imetinga hatua ya nusu fainali baada ya kuibuka na ushindi dhidi ya Peru katika changamoto ya mikwaju ya penati na hii ilitokana na mchezo huo kumalizika kwa sare ya bila kufungana ndani ya dakika 120.

Katika penati hizo Colombia walipata penati 4 dhidi ya 2 za Peru wachezaji wote waliopiga penati za Colombia wakifunga huku wachezaji wawili wa Peru wakikosa penati zao ambao ni Miguel Trauca na Christian Cueva.

Angalia highlights hapa

No comments

Powered by Blogger.