BAADA YA KICHAPO TOKA KWA ICELAND KOCHA WA ENGLAND AJIUZULU
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya England Roy Hodgson ameamua kujiuzulu kuifundisha timu hiyo baada ya kuchapwa bao 2-1 na Iceland katika hatua ya 16 bora.
Hodgson mwenye miaka 68 ameifundisha England kwa miaka minne akichukua nafasi ya Fabio Capello na ameshindwa mechi 3 tu kati ya 11 katika mashindano mkubwa.
Iceland yenye Raia wapatio 330,000 ni kati ya timu ambayo hazikupewa nafasi ya kufanya vizuri katika michuano ya mwaka huu.
England walitinga katika michuano ya Euro mwaka huu wakiwa wameshindwa mechi zao zote katika hatua ya makundi.
No comments