YANGA YAPANGWA NA TP MAZEMBE KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA
Mabingwa wa Tanzania bara na wawakilishi pekee wa Tanzania na Afrika mashariki na kati waliobaki katika michuano ya kimataifa Yanga wamepangwa kundi moja na TP Mazembe.
Yanga na Mazembe ziko katika kundi A ambalo pia linajumuisha timu za MO Bejaia ya Algeria na Madeama ya Ghana.
Kundi B linaundwa na timu za Kaskazini mwa Afrika pekee ambazo ni Etoile du Sahel ya Tunisia ambao ni mabingwa watetezi wa kombe hilo Ahly Tripoli ya Libya, FUS Rabat na Kawkab zote hizo kutoka Morocco.
Yanga wametinga hatua hii baada ya kuwatoa Esperanga ya Angola kwa ushindi wa jumla wa bao 2-1.

No comments