TISHIO LA BOMU LAAHIRISHA MECHI YA MAN UNITED NA BOURNMOUTH
Mechi ya mwisho ya ligi kuu ya England baina ya Manchester united na Bournemouth imeajirishwa kutokana na kuonekana na kitisho cha Bomu uwanjani.
Mashabiki katika jukwaa la Straight ford na Alex Ferguson ndiyo majukwaa ambayo yalionekana kuwa na kifurushi Ambacho kinakisiwa kuwa no Bomu.
Polisi wakiwa na mbwa waliweza kufanya upekuzi na mwanzoni ilisemekana baada ya dakika 45 mchezo huo Ungeweza kuanza lakini badae polisi walizuia kabisa mechi hiyo kuchezwa.
Chama cha Soka nchini England kitatoa siku mbadala Wa mechi hiyo kuchezwa.
No comments