REAL MADRID VS MANCHESTER CITY KATIKA PICHA
Tumekuwekea hapa matukio katika picha toka katika uwanja wa Santiago Bernabeu jijini Madrid ambapo wenyeji Real Madrid walitinga katika fainali yao ya 14 katika ligi ya mabingwa barani Ulaya kwa kuifunga Man City bao 1-0.
Mpira uliopigwa na Bale na kuzaa bao la pekee |
Ronaldo akicheza mpira kwa mikono baada ya kugundua yuko of side |
Otamendi akimdhibiti Ronaldo |
Kroos akipiga faulo |
Bale akiwa toka mabeki wa City |
Aguero akikabiliana na mabeki wa Madrid |
No comments