RASHFORD HANA UTANI NA NYAVU APIGA BAO MOJA KATIKA MECHI YAKE YA KWANZA AKIWA NA KIKOSI CHA ENGLAND
Mshambuliaji chipukizi wa Manchester United aliyeitwa kuichezea England kwa mara ya kwanza Marcus Rashford ameendelea kuonyesha umwamba wake kwa kuzifumania nyavu.
Ilimchukua dakika 3 tu kufunga bao lake la kwanza akiwa katika mechi yake ya kwanza na timu ya taifa ya England akianza kama mshambuliji wa mwisho katika mchezo wa kimataifa wa Kirafiki kati ya England na Austkatika
England iliibuka na ushindi wa bao 2-1 lakini mjadala mkubwa unaendelea kuzungumzwa hivi sasa ni uwezo alionao kijana huyu katika kuzifumania nyavu tangu alipopewa nafasi na kocha Luis Van Gaal katika kikosi cha Manchester United.
Goli alilofunga jana limemfanya kuweka rekodi mpya ya kuwa mchezaji wa kfunga mwenye umri mdogo katika kikosi cha England kumdogo bao katika mechi yake ya kwanza.
Rashford jana alikua na umri wa miaka 18 na siku 208 na kuvunka rekodi iliyowekwa zamani na Tommy Lawton mwaka 1938 alipofunga bao lake la kwanza akiwa na umri wa miaka 19 na siku 318 alipofunga bao dhidi ya Wales.
Bao lingine katika mechi ya jana lilifungwa na Nahodha Wayne Rooney huku kiungo Eric Dier akijifunga na kuwapa Austalia bao la kufutia machozi.

No comments