NYOTA YA RASHFORD YAZIDI KUNG'AA AITWA KUIWAKILISHA ENGLAND EURO 2016
Katika mwaka ambao kijana wa Manchester United Marcus Rashford hatausahau basi ni mwaka huu kwani Nyota yake imezidi kung'aa na safari hii akiiitwa katika kikosi cha Wachezaji 26 watakaoiwakilisha England katika michuano ya Euro mwezi Ujao.
Kocha mkuu wa England Roy Hodgson ametaja kikosi chake leo na gumzo katika vinywa vya Wapenda Soka duniani ni kuitwa kwa Rashford katika kikosi hicho.
England wamepangwa katika kundi Barcelona pamoja na Russia,Slovakia na ndugu zao Wales katika michuano inayotarajiwa kuanza Juni 10 nchini Ufaransa.
Wachezaji walioitwa ni:
Makipa:
Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Southampton), Tom Heaton (Burnley)
Mabeki:
Gary Cahill (Chelsea), Chris Smalling (Manchester United), John Stones (Everton), Kyle Walker (Tottenham Hotspur), Ryan Bertrand (Southampton), Danny Rose (Tottenham Hotspur), Nathaniel Clyne (Liverpool)
Viungo:
Dele Alli (Tottenham Hotspur), Ross Barkley (Everton), Fabian Delph (Manchester City), Eric Dier (Tottenham Hotspur), Danny Drinkwater (Leicester City), Jordan Henderson (Liverpool), Adam Lallana (Liverpool), James Milner (Liverpool), Raheem Sterling (Manchester City), Andros Townsend (Newcastle United), Jack Wilshere (Arsenal)
Washambuliaji :
Wayne Rooney (Manchester United), Harry Kane (Tottenham Hotspur), Jamie Vardy (Leicester City), Daniel Sturridge (Liverpool), Marcus Rashford (Manchester United)

No comments