MATOKEO YA MECHI ZA SOKA JANA JUMAMOSI HAPA BONGO NA ULAYA

Mechi kadhaa za soka zilipigwa  siku ya jana hapa nyumbani,barani Afrika na Ulaya.
Hapa nyumbani  Coastal Union rasmi imeshuka  Daraja baada ya kukukubali kichapo toka kwa Stand United na huko Ulaya ilikua ni sherehe za ubingwa kwa Leicester City na Bayern Munich.
Haya hapa ndiyo matokeo ya mechi zote za jana


☆ Vodacom Premier League 

     Stand United 2-1 Coasta Union
     JKT Ruvu 2-0 Ndanda FC
     Mgambo JKT 1-1 Mtibwa sugar

☆ CAF CONFEDERATIONS CUP 

     Yanga SC 2-0 Sagrada Esperanga
     Mamelodi Sundowns 3-1 Medeama
     Mo Bejaia 0-0 Tunis
     SM Bamako 0-0 FUS  Rabat
     El Mereik 1-0 Kawkab

★Barclays Premier League

Norwich City 0-1 Manchester United
AFC Bournemouth 1-1 West Bromwich Albion
Aston Villa 0-0 Newcastle United
Crystal Palace 2-1 Stoke City
Sunderland 3-2 Chelsea
West Ham United 1-4 Swansea City
Leicester City 3-1 Everton

★German Bundesliga

Borussia Monchengladbach 2-1 Bayer Leverkusen
Eintracht Frankfurt 1-0 Borussia Dortmund
FC Cologne 0-0 Werder Bremen
FC Ingolstadt 04 1-2 Bayern Munich
Hamburg SV 0-1 VfL Wolfsburg
Hannover 96 1-0 TSG Hoffenheim
Hertha Berlin 1-2 SV Darmstadt 98
Schalke 04 1-1 FC Augsburg
VfB Stuttgart 1-3 Mainz

★Italian Serie A

Internazionale 2-1 Empoli
Bologna 0-1 AC Milan

★French Ligue 1

Bastia 1-0 Angers
Bordeaux 3-0 Lorient
GFC Ajaccio 0-4 Paris Saint-Germain
Lille 0-0 Guingamp
Lyon 6-1 AS Monaco
Marseille 1-0 Stade de Reims
Montpellier 2-0 Stade Rennes
Nantes 1-2 Caen
Nice 2-0 St Etienne
Toulouse 1-0 Troyes

~Abel Alvaro

No comments

Powered by Blogger.