HIKI NDICHO KIKOSI CHA TAIFA STARS DHIDI YA HARAMBEE STARS LEO

Time ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars itashuka dimbani muda mchache ujao katika dimba la Nyayo jijini Nairobi kucheza na wenyeji timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars.


Mchezo huu ni wa kirafiki kujiandaa na mechi za kuwania kufuzu kwa fainali zijazo za kombe la mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Gabon ambapo Tanzania itaumana na Misri wiki Ijayo.

Kocha mkuu was Stars Charles Boniface Mkwasa tayari ameweka hadharani kikosi cha timu hiyo katika mechi ya Leo inayotarajiwa kuanza saa 10 jioni na kurushwa live naked Azam TV.

Kikosi kitakuwa kama ifuatavyo:
1-  Deogratius Munish
2- Juma  Abdul
3- Mohammed Hussein
4- Aggrey  Morris
5- Erasto Nyoni
6- Himid Mao
7- Shiza Kichuya
8-Jonas Mkude
9- Elias Maguli
10- Mwinyi Kazimoto
11- Deus Kaseke

Akiba:
12- Aishi Manula
13- Haji Mwinyi
14- David Mwantika
15- Mohammed Ibrahim
16- Farid Mussa
17- Ibrahim Ajibu
18- Jeremiah Juma

Kwa mujibu wa kanuni za FIFA kila timu inaruhusiwa kubadili wachezaji mpaka 6.

Mfumo utakaotumiwa na Kocha Charles Mkwasa Leo ni 4-3-3 in wakati wa kushambulia na 4-5-1 wa katika wa kulinda

1 comment:

Powered by Blogger.