HIKI NDICHO KIKOSI CHA AZAM FC DHIDI YA YANGA LEO

Baada ya kuona kikosi cha Yanga sasa ni zamu ya Azam FC ambao nao wameweka hadharani kikosi chao kitakachocheza na Yanga jioni ya leo katika fainali ya kombe la shirikisho Tanzania bara.


Wakitumia mfumo wa 3-5-2 hiki ndicho kikosi cha wana lambalamba Azam FC.

Kikosi Kitakachoanza

1.Aishi Manula-28
2.Erasto Nyoni-6
3.Gadiel Michael-2
4.Agrey Morris-13
5.Abdallah Kheri-25
6.Jean Mugiraneza-16
7.Himid Mao-23
8.Mudathir Yahya-20
9.John Bocco-19(c)
10.Ramadhan Singn-14
11.Farid Mussa-17

Akiba
1.Mwadini Ali-1
2.Said Morad-15
3.Frank Domayo-18
4.Bolou Wilfred -29
5.Didier Kavumbagu-11
6.Ame Ali-24
7.Shaaban Idd-43

No comments

Powered by Blogger.