HARRY KANE NA VARDY WAIPA USHINDI ENGLAND DHIDI YA UTURUKI

Mechi ya kimataifa ya kirafiki kati ya England na Uturuki ilimalizika jana kwa ushindi wa 2-1 walioupata wenyeji England.


Mchezo huo wa maandalizi kuelekea fainali za kombe la mataifa ya Ulaya Euro 2016 ulipigwa katika dimba la Etihad jijini Manchester

Harry Kane na Jarmie Vardy ndiyo mashujaa wa Mchezo huo baada ya kufunga mabao yote mawili

Highlights za Mchezo huo tumekuwekea hapa

No comments

Powered by Blogger.