HAPATOSHI TAIFA LEO NI AZAM FC NA YANGA SC FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
Fainali ya michuano mipya ya Azam Federations Cup maarufu kama kombe la Shirikisho nchini Tanzania inapigwa Leo katika uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam baina ya Yanga na Azam FC.
Bingwa wa michuano hiyo ambayo ilishirikisha timu zote za Ligi kuu,Daraja la kwanza na Ligi Daraja la pili atajinyakulia kitita cha milioni 50 toka kwa mdhamini wa michuano hiyo kampuni ya Azam lakini pia Bingwa wa michuano hiyo ataiwakilisha Tanzania bara katika michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika.
Mechi ya Leo inatadhamiwa kuwa kali na ya kuvutia kufuatia timu zote hizo kuwa na vikosi bora lakini pia kufukuzana katika msimamo wa Ligi kuu Tanzania bara Yanga wakishika nafasi ya kwanza na Azam nafasi ya pili kwa mwaka wa pili mfululizo.
Mwamuzi wa mchezo wa Leo ni Israel Mujuni Nkongo wa Dar Es Salaam na mchezo ukitarajiwa kuanza saa 10 alasiri.

No comments