LEICESTER CITY USHINDI MPAKA KIELEWEKE YAWALAZA SOUTHAMPTON
Vinara wa ligi kuu nchini England Leicester City wamezidi kuonyesha nia yao ya kubeba ubingwa wao wa kwanza msimu huu kwa kuifunga Southampton bao 1-0.
Goli pekee katika mchezo huo ambao ulipigwa katika uwanja wa King Power nyumbani kwa Leicester City lilifungwa na nahodha Wes Morgan dakika ya 38.
Kwa matokeo hayo sasa Leicester City wanaendelea kutawala katika nafasi ya juu wakiwa na pointi 69 katika nafasi ya kwanza pointi 7 mbele ya Tottenham Hotspurs wanaoshika nafasi ya pili ambao jana walitoka Sare ya bao 1-1 na Liverpool.

No comments