FA: ARSENAL YASHINDA BAO 4 KWA BILA (VIDEO HIGHLIGHTS)

Arsenal jana walicheza na Hull City katika mchezo wa marudiano wa kombe la FA baada ya kutoa sare ya bila kufungana katika mchezo wa awali. Tumekuwekea magoli ya mchezo huo hapa.


Hull City 0 - 4 Arsenal



LICHA YA USHINDI MNONO MASHABIKI ARSENAL WAMTAKA WENGER AJIUZULU
Katika hali isiyotegemewa mashabiki wa Arsenal jana walibeba Bango la kumtaka kocha wao Arsene Wenger ajiuzulu nafasi hiyo katika mechi ya kombe la FA dhidi ya Hull city katika dimba La KC. Read More 

No comments

Powered by Blogger.