EUROPA LEAGUE: ANGALIA MAGOLI YA MECHI ZOTE ZA JANA HAPA

Hatua ya 16 bora  ya michuano ya Europa League ilianza usiku wa jana kwa timu zote  16 kujitupa viwanjani kusaka ushindi wake wa kwanza katika mechi mbili za hatua hii. Tumekuwekea hapa magoli yote ya mechi za jana.


Dortmund 3 - 0 Totenham


Liverpool 2 - 0 Manchester UTD


Ingia hapa kwenye kiunga hiki kusoma kwa undani juu ya matokeo hayo
MAN UNITED NA SPURS ZAAMBULIA  VIPIGO EUROPA LEAGUE 
Manchester United wakisafiri ugenini kuwavaa Liverpool katika dimba la Anfield na wenyeji Liverpool waliibuka na ushindi wa bao 2-0 katika mchezo ambao uliotawaliwa na Liverpool..Read More

Athletic Bilbao 1 - 0 Valencia


Villareal 2- 0 Bayer Liverkusen


Shakhtar 3 - 1 Anderlecht 


Sparta Prague 1 - Lazio


Fernebahce 1 - 0 Braga


FC Basel 0 - 0 Sevilla



No comments

Powered by Blogger.